Kwa Nini Kusoma India?
India imekuwa moja ya sehemu bora kwa wanafunzi wa kimataifa kutokana na elimu yake nafuu, vyuo vinavyotambulika duniani, tamaduni mbalimbali, na mazingira ya kisasa ya kujifunzia.
Faida za kusoma India ni pamoja na:
Ada nafuu ukilinganisha na Ulaya, Canada, na USA
Masomo kufundishwa kwa lugha ya Kiingereza
Vyeti vinavyotambulika kimataifa
Teknolojia na ubunifu wa kisasa
Wanafunzi kutoka mataifa mbalimbali
Gharama nafuu za maisha
Mazingira salama kwa wanafunzi
Nafasi za kazi na internship
India inatoa elimu bora kwa gharama zinazoweza kumuduwa na wanafunzi wengi.
Kuhusu Chandigarh University
Chandigarh University ni moja ya vyuo vikuu vinavyoongoza nchini India, kinachojulikana kwa ubora wa elimu, miundombinu ya kisasa, ushirikiano wa kimataifa, na programu zinazolenga kazi.
Kipo Mohali, Punjab karibu na mji wa Chandigarh, na huvutia wanafunzi kutoka nchi mbalimbali kutokana na:
Miundombinu ya kisasa
Msaada kwa wanafunzi wa kimataifa
Nafasi nzuri za ajira baada ya masomo
Maabara na innovation centers za kisasa
Programu zinazolenga soko la kazi
Internship na placement opportunities
Ushirikiano wa kimataifa
Kozi zinazopatikana ni pamoja na:
Information Technology
Computer Science
Business & Management
Engineering
Nursing & Health Sciences
Hospitality & Tourism
Data Science & AI
Cybersecurity
Media & Communication
Architecture
Agriculture
Fashion & Design
Pharmacy
Aviation
Law
Na nyingine nyingi
Faida za Scholarship
1. Scholarship ya 50% kwa Ada ya Masomo
Wanafunzi wanaostahili wanaweza kupata hadi 50% scholarship kwenye ada ya masomo, jambo linalopunguza gharama kwa kiwango kikubwa.
2. Nafasi ya Tiketi ya Ndege Bure
Baadhi ya wanafunzi wanaweza kupata msaada wa tiketi ya ndege bure wakati wa kuhamia India kwa masomo.
3. Mahitaji Rahisi ya Bank Statement
Programu hii inahitaji bank statement ya kiwango rahisi ukilinganisha na nchi nyingine nyingi.
4. Programu za Direct Transfer (1+1 / 2+2)
Wanafunzi wanaweza pia kupata nafasi za:
1+1 Programs
2+2 Programs
Hizi huwapa wanafunzi nafasi ya kuendelea na masomo yao kimataifa kupitia transfer programs.
Kwa Nini Uchague Beyond Abroad?
Beyond Abroad huwasaidia wanafunzi katika kila hatua ya safari ya kusoma nje ya nchi.
Huduma tunazotoa ni pamoja na:
Msaada wa maombi ya vyuo
Uongozi wa scholarship
Admission processing
Visa guidance
Travel support
Ushauri wa masomo
Msaada wa accommodation
Airport pickup guidance
Nani Anaweza Kuapply?
Scholarship hii inafaa kwa:
Wahitimu wa secondary school
Wanafunzi wa diploma
Undergraduate students
Wanafunzi wanaotaka transfer
Wanaotafuta elimu ya kimataifa kwa gharama nafuu
Documents Zinazohitajika
Passport copy
Vyeti vya shule
Passport photo
Bank statement
Application forms
English proficiency documents (ikihitajika)
Maisha ya Wanafunzi India
Kusoma India sio elimu tu. Wanafunzi pia hupata:
Uzoefu wa tamaduni mbalimbali
Campuses za kisasa
Gharama nafuu za maisha
Networking opportunities
Student clubs na activities
Exposure ya kimataifa
Jinsi ya Kuapply
Hatua ya 1: Wasiliana na Beyond Abroad
Pata ushauri na kuangaliwa eligibility yako.
Hatua ya 2: Tuma Documents
Tuma academic documents zako na taarifa muhimu.
Hatua ya 3: Scholarship Processing
Tutakusaidia kwenye application na admission process.
Hatua ya 4: Visa & Travel Support
Ukikubaliwa, tutakuongoza kwenye visa na maandalizi ya safari.
Mawasiliano
+254 743 456 817
+256 751 173 929
Anza Safari Yako Leo
Ndoto yako ya kusoma nje ya nchi inawezekana.
Kupitia Beyond Abroad na Chandigarh University, unaweza kupata elimu bora ya kimataifa kwa gharama nafuu huku ukifungua milango ya fursa za kimataifa.
Dream. Learn. Explore. Beyond Borders.